+255619470497
Tuandikie WhatsAppMSAADA KWA WATEJA
Tupo kukusaidia.
Umekwama au una swali? Tuandikie au utupigie — tutakusaidia hatua kwa hatua.
Kila siku · 07:00–19:00 (saa za Tanzania)
Unaweza kutuandikia wakati wowote. Tunajibu ndani ya saa hizi; nje ya saa hizo tutakujibu tukirudi.
Hizi ni namba za msaada wa TAKUN. Hazitaonekana kwenye mialiko yako — mialiko inaonesha namba za wenyeji ulizoweka wewe.
Ikiwa ukurasa haufunguki: Angalia muunganisho wako wa intaneti, kisha jaribu tena.
Soma mwongozo